Author: Jamhuri
Polisi wazingira mitaa ya Nairobi kudhibiti maandamano
Askari wa kutuliza ghasia nchini Kenya wako katika mitaa ya mji mkuu, Nairobi, katika jitihada za kuzuia maandamano yaliyoitishwa na upinzani kuhusu gharama ya juu ya maisha na madai ya ukiukwaji wa maadili katika uchaguzi. Pia kuna idadi kubwa ya…
Waziri Nape kufungua Kongamano la 12 la Kitaaluma la TEF Morogoro
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF),linatarajia kufanya Kongamano la 12 la Kitaalamu mkoani Morogoro ambapo linatarajiwa kufunguliwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye. Akizungumza na vyombo vya habari kuhusu kongamano hilo la siku…
Ummy awajulia hali waliowekwa karantini kwa kuwahudumia wagonjwa wa Marburg
Na WAF – Bukoba,JamhuriMedia,Kagera Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amewatembelea watumishi wa afya waliowekwa sehemu maalumu ya uangalizi baada ya kuwahudumia wagonjwa wa Marburg walioripotiwa katila Wilaya ya Bukoba Mkoani Kagera. Ziara hiyo ameifanya leo akiambatana na Wawakilishi kutoka Shirika…
Azam hatihati kumkosa Ibenge
Na Tatu Saad,JamhuriMedia Miamba kutoka Azam Complex huwenda ikashindwa kunasa saini ya kocha kutoka DR Congo, Florent Ibenge ambaye amekuwa akitajwa kuwaniwa na klabu hiyo mwishoni mwa msimu huu 2022/23. Inaelezwa kuwa mabosi wa klabu ya Al Hilal ya nchini…
Amrouche aipongeza Uganda
Na Tatu Saad,JAMHURIMEDIA Licha ya ushindi wa bao 1-0 walioupata Taifa Stars dhidi ya Uganda katika mchezo wa kundi F kufuzu fainali za Mataifa ya Afrika ‘AFCON 2023’ uliopigwa katika uwanja wa Suez Canal Authority uliopo nchini Misri,kocha Adel Amrouche…
Bilioni 223.9 zapelekwa Tunduru ndani ya miaka miwili ya SSH
Na Idd Mohamed JAMHURI MEDIA Jumla ya Shilingi 223,917,101,547.11 zimepelekwa wilaya ya Tunduru kusimamia shughuli mbalimbali za maendeleo tangu mwezi Machi 2021 – Machi 2023, miaka 2 ambayo serikali ya Tanzania imeongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan. Mkuu wa Wilaya…