Author: Jamhuri
Dk Faustine Ndungulile afariki dunia
Na Isri Mohamed, Jamhuri Media, Dar es Salaam Mbunge wa Jimbo la Kigamboni, Dkt Faustine Ndugulile amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Novemba 27, akiwa nchini India alipokuwa akipatiwa matibabu. Taarifa za kifo chake zimetolewa na Spika wa Bunge, Dkt…
Jumuiya ya NATO yaihakikishia Ukraine msaada
Jumuiya ya kujihami ya NATO na Ukraine zimefanya mkutano wa dharura baada ya Urusi hivi karibuni kuishambulia Ukraine kwa kutumia kombora la kuvuka mabara. Nchi za magharibi zimejibu kwa kujiamini jana Jumanne vitisho vya mashambulizi ya makombora na matumizi ya…
Watu 5 wafariki ajali ya ndege Costa Rica
Maafisa wa uokoaji waliyapata mabaki ya ndege kwenye eneo la milima lakini ilichukua saa kadhaa kwa timu kufika eneo la ajali. Shirika la Msalaba Mwekundu liliripoti Jumanne aliyenusurika alikuwa amepelekwa hospitali. Shirika la msalaba mwekundu limesema watu watano wamekufa baada…
Tanzania yapongezwa maandalizi ya maadhimisho ya miaka 25 ya EAC
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mhe. Veronica Nduva ameipongeza Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuipa uzito wa kipekee agenda ya maadhimisho ya miaka 25 ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ambayo kilele chake ni tarehe…
Zitto : Wasimamizi wa uchaguzi Kigoma msikubali kulaghaiwa kugeuza matokeo
Kiongozi Mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amewataka wasimamizi wa uchaguzi kutoingizwa kwenye mtego wa kuwatangaza washindi wagombea wa CCM hata kama watashindwa katika sanduku la kura la uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika siku ya Jumatano Novemba…