JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Benki ya Dunia kushirikiana na Tanzania kutekeleza PPP

Na Farida Ramadhani, WFM, Dodoma Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Lawrence Mafuru amesema Serikali inafanya majadiliano ya kimkakati na Benki ya Dunia (WB) namna ya kuiwezesha sekta binafsi kushiriki katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo kupitia…

Jaji Warioba azindua mashine ya kisasa ya kuchakata mazao ya misitu

Mkuu wa chuo cha Sokoine cha Kilimo (SUA) Jaji Joseph Sinde Warioba amezindua rasmi mashine ya kisasa ya kuchakata mazao ya misitu ijulikanayo kama Slidetec Sawmill 2020 yenye thamani ya shs 200 milioni. Aidha uzinduzi huo umefanyika leo katika kampasi…

DC Jokate azuru Afrika Kusni kutangaza zao la mkonge

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Mkuu wa Wilaya ya Korogwe mkoani Tanga Jokate Mwegelo amezuru nchini Afrika kusini wiki hii kutangaza umuhimu wa Vijana wa Afrika kushiriki katika Ujenzi wa Afrika. Lengo kuu la ziara hiyo ni kutangaza zao la Mkonge na…

Simba kuwafata Raja leo

Na Tatu Saad,JAMHURI MEDIA Kikosi cha klabu wa wekundu wa msimbazi ‘Simba SC’ kinatarajia kuondoka mchana wa leo kuelekea nchini Morocco, kwa akili ya mchezo wa mwisho wa kundi C LIGI ya Mabingwa Afrika dhidi ya Raja Casablanca. Meneja wa…

Mahakama yatupilia mbali kesi iliyokuwa ikimkabili Kigogo wa PSSSF

Na mwandishi wetu, JAMHURI MEDIA Mahakama ya Wilaya ya Ilala imetupilia mbali kesi iliyokuwa ikimkabili aliyekuwa Meneja wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi Umma (PSSSF) Rajabu Kinande na Wenzake wanne,waliokuwa wakituhumiwa kwa makosa tofauti ikiwemo kuvunja duka la Mohamed Soli…

Majaliwa:Uwepo wa reli ya SGR ni fursa kwenu wana-Malampaka

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka wakazi wa wilaya ya Maswa mkoani Simiyu watumie uwepo wa reli ya kimataifa (SGR) kama ni fursa ya kujijenga kiuchumi. Ametoa wito huo jana jioni wakati akizungumza na mamia ya wananchi na viongozi katika mkutano…