Author: Jamhuri
Rais Samia:Vyombo vya habari vifanye kazi bila woga
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ametoa salamu za Rais Samia Suluhu Hassan akivitaka vyombo mbalimbali vya habari Tanzania kufanya kazi kitaaluma bila woga, upendeleo na uonevu. Waziri Nape ametoa salamu…
Rais Samia akipokea taarifa ya CAG na TAKUKURU
Dar es Salaam, JAMHURI MEDIA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali kwa Mwaka 2021/2022 kutoka kwa Charles Kichere, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) pamoja…
Majeruhi ajali ya mwendokasi aruhusiwa kutoka hospitali
Na Tatu Saad JAMHURI MEDIA Majeruhi pekee wa ajali ya bus la Mwendokasi iliyotokea mnamo Februari 22 mwaka huu jijini Dar es Salaam, Osam Milanzi ameruhusiwa kutoka hospitali baada ya afya yake kuwa timamu. Milanzi alifikishwa katika hospitali ya Taifa…
Uingereza yahofia mashambulizi ya kigaidi ziara ya Biden
Serikali ya Uingereza imeongeza kiwango cha tahadhari kuhusu kitisho cha kutokea mashambulizi ya kigaidi katika jimbo la Ireland ya Kaskazini kabla ya ziara inayotarajiwa ya Rais Joe Biden wa Marekani. Rais huyo wa Marekani anatarajiwa kuhudhuria kumbukumbu ya miaka 25…
Viongozi wa dini wasisitiza amani nchini Kenya
Viongozi wa dini nchini Kenya wamewataka wanasiasa wanaolumbana kuafikia amani kufuatia ghasia iliyomalizika huku kanisa na majengo yaliyounganishwa na msikiti kushambuliwa jijini Nairobi. Katika maandamano yaliyofanyika Siku ya Jumatatu, yaliyoitishwa na kiongozi wa upinzani Raila Odinga yalisababisha polisi kukabiliana na…
LHRC:Umri wa kuolewa kwa mtoto wa kike miaka 18
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Kituo Cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimeendelea kupendekeza umri wa kuolewa kwa mtoto wa kike kuwa miaka 18 huku wakiiomba Serikali kurekebisha vifungu vya 13 na 17 vya sheria ya ndoa vinavyoruhusu mtoto kuolewa akiwa…