Author: Jamhuri
Majaliwa: Tanzania kinara masuala ya maafa
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Tanzania imekuwa nchi ya kwanza kusaini mkataba wa kuanzisha Kituo cha Huduma za Binadamu na Operesheni za Dharura cha Kanda ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC). “Lengo la kuanzisha kituo hicho ni kusimamia…
MSD yadhamiria kujenga maghala ya kuhifadhi dawa mikoa mitano
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Bohari ya Dawa (MSD),imedhamiria kujenga maghala matano ya kuhifadhi dawa na vifaa tiba katika mikoa mitano nchini. Hayo yamebainisha leo Aprili 5,2023 na Mkurugenzi wa MSD, Mavere Tukai,wakati wa kikao kazi na wahariri wa vyombo…
Kiwanda chakutwa na taka hatarishi za hospitali
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limempatia siku saba (7) mmiliki wa kiwanda bubu cha kukusanya na kusaga chupa za plastiki katika eneo la Kisarawe II wilayani Kigamboni kufika katika ofisi za NEMC kujibu tuhuma za…
Kilio cha gharama kubwa za kusafisha damu sasa kuwa historia
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia ,Dodoma Serikali imedhamiria kushusha gharama za kusafisha figo ‘Dialysis’ ili kuwapunguzia mzigo wananchi na hata Serikali. Hayo yamesemwa leo Aprili 5,2023 na Mfamasia Mkuu wa Serikali, Daudi Msasi alipokuwa akizungumza kwa niaba ya Katibu Mkuu Wizara…
Majaliwa:Serikali yatoa trilioni 8.64/- kuendeleza miradi
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema takribani shilingi trilioni 8.64 zimetolewa na Serikali kwa ajili ya kuendelea kutekeleza miradi ya maendeleo itakayoimarisha uchumi wa nchi na maendeleo ya watu hadi kufikia Januari, 2023. Majaliwa ametaja miradi hiyo saba kuwa ni ya…