Author: Jamhuri
Ihefu yawa mteja kwa Simba
Licha ya Ihefu kuwa bora kwenye mchezo wa leo mbele ya Simba kwenye upande wa umiliki wamekwama kuondoka na pointi tatu. Dakika 90 zimekamilika ubao wa Uwanja wa Highland Estate unasoma Ihefu 0-2 Simba. Mabao yote mawili yamefungwa na Jean…
Rais Samia apongezwa kuchukua hatua ripoti ya CAG
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Rais Samia Suluhu Hassan amemwagiwa sifa na wananchi na viongozi mbalimbali ndani na nje ya nchi kwa kuchukua hatua za haraka na madhubuti kushughulikia uzembe na ubadhirifu wa pesa za umma uliobainishwa kwenye ripoti ya Mdhibiti…
Hiki hapa kikosi cha Simba dhidi ya Ihefu
Kikosi cha Simba dhidi ya Ihefu mchezo wa Ligi Kuu Bara namna hii:- Ally Salim yupo langoni, Israel Mwenda, Gadiel Michael kapewa kitambaa cha unahodha Onyango,Kennedy Juma,Ismail Sawadogo, Pape Sakho, Mzamiru Yassin, Jean Baleke, Habib Kyombo, Kibu Dennis
Watu 72 wafa maji Ufilipino kipindi cha Pasaka
Watu 72 wamekufa kwa kuzama kwenye maji tangu mwanzo mwa mwezi huu, huku rekodi ikionesha vifo vingi zaidi vimetokea katika kipindi hiki cha mapumnziko ya siku za Sikukuu ya Pasaka. Kwa mujibu wa msemaji wa Jeshi la Polisi la Ufilipino,…
CAG abaini madudu ukaguzi wa REA 2015/16-2019/20
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amebaini kuwepo kwa mapungufu ya utandaji umeme vijijini na kuashiria kuwepo kwa mianya ya ubadhirifu wa fedha. Hayo yamebainika katika ripoti yake ambapo katika ukaguzi Mamlaka ya Nishati Vijijini…
Mwenyekiti auawa kwa tuhuma za wivu wa mapenzi Chato
Na Daniel Limbe, JamhuriMedia, Chato Wakati waumini wa dini ya kikristo duniani wakiendelea kusherehekea Sikukuu ya Pasaka, huko wilayani Chato mkoani Geita kumetokea mauaji ya mwenyekiti wa kitongoji cha Mwabazengi, Kata ya Muungano, Robert Msodock, baada ya kukutwa akiwa na…