Author: Jamhuri
‘Upandaji mazai hifadhini ni ukikwaji wa sheria’
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mary Masanja ( Mb) ametoa angalizo kwamba kupanda mazao katika maeneo ya Hifadhi ni ukiukwaji wa sheria huku akisisitiza kuwa yeyote atakayebainika kuendesha shughuli za kibinadamu katika maeneo hayo sheria itachukua mkondo wake. Aliyasema hayo…
DART kushiriki kampeni ya upandaji mitimilioni ya Benki ya NMB
Taasisi ya Wakala wa Mabasi yaendayo Haraka (Mwendokasi) – DART wameungana na Benki ya NMB kupitia kampeni yao inayozidi kushika kasi ya Upandaji Miti Milioni kwa mwaka 2023, kwa kupanda miti 1,000 aina ya ‘Jacaranda’ katika ushoroba wa Bus Rapid…
Baba ashikiliwa kwa tuhuma za kumlawiti mtoto wake
Amani Martin mkazi wa Kata ya Nzihi Halmashauri ya Wilaya ya Iringa anashikiliwa na Jeshi la Polisi tuhuma za kumlawiti mtoto wake wa kumzaa mwenye umri wa mwaka mmoja na kumsababishia maumivu makali. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa Allan…
Raila Odinga aitisha mkutano kabla ya mazungumzo na serikali
Muungano mkuu wa upinzani nchini Kenya umetangaza mipango ya kufanya”mazungumzo ya moja kwa moja” na umma wakati ukijiandaa kwa mazungumzo na serikali kuhusu mageuzi kuhusu uchaguzi. Muungano huo wa Azimio la Umoja, unaoongozwa na mwanasiasa mkongwe wa upinzani Raila Odinga,…
Serikali kuajiri wataalamu wa afya 12
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amesema, katika mwaka 2023 Serikali imepanga kuajiri Wataalamu wa afya 12,000, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa Serikali wa kuboresha huduma kwa wananchi hasa maeneo yenye upungufu wa Watumishi na kupunguza changamoto ya…