Author: Jamhuri
TACAIDS:Tanzania yapunguza maambukizi ya UKIMWI kwa asilimia 88
Imeelezwa kuwa, Tanzania imepunguza maambukizi ya UKIMWI kwa asilimia 88 kutokana na vifo vitokanavyo na UKIMWI kupungua kwa asilimia 50 kutoka vifo 64,000 mwaka 2010 hadi 32,000 mwaka 2020. Hayo yamelezwa jana jioni Jijini Dodoma wakati wa mawasilisho yaliyohusu tathmini…
Dkt. Tax akutana na Rais mstaafu wa Msumbiji
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Stergomena Tax amekutana na kuzungumza na Rais Mstaafu wa Msumbiji Joaquim Chisano jijini Dar es Salam. Dkt. amemshukuru Chisano kwa kukubali mwaliko wa kuja kushiriki utoaji wa Tuzo za…
Serikali yazungumzia malalamiko ya watumiaji wa bidhaa ya saruji
Serikali imezugumzia malalamiko ya watumiaji wa bidhaa ya Saruji aina ya Hauxin inayozalishwa na kiwanda cha Maweni Limestone Limited kilichopo Mkoani Tanga kuhusu upungufu wa uzito wa bidhaa hiyo. Naibu Waziri wa uwekezaji,viwanda na biashara Exaud Kigahe (Mb) ameyabainisha hayo…
Ulega: Vituo atamizi fursa ya ajira kwa vijana
Na Mbaraka Kambona, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Mifugo na Uvuvi,Abdallah Ulega amesema wizara yake imeanzisha vituo atamizi vya kuwafundisha vijana ufugaji wa kisasa wa mifugo na samaki lengo likiwa ni kujibu changamoto ya ajira kwa vijana iliyopo hapa nchini. Waziri…
Baba amuua mwanaye mlemavu na kumzika porini
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Geita Jeshi la Polisi mkoani Geita linamshikilia Elias Bakumye (32), mkazi wa kijiji cha Chikobe, Kata ya Butundwe Wilaya ya Geita mkoani humo kwa tuhuma za kumuua mwanaye mlemavu wa viungo na kumzika porini. Akithibitisha kutokea kwa…