Author: Jamhuri
Mume adaiwa kumuua mke kwa uchu wa mali
Na Daniel Limbe, JamhuriMedia,Chato Mwanaume mmoja aliyefahamika kwa jina la Dickson Jackobo,mkazi wa Kasenda Muganza,wilayani Chato mkoani Geita anadaiwa kumuua kwa panga mke wake, Kasaka January (40), kwa kile kinachoelezwa kuwa ni uchu wa mali. Mauaji hayo yametekelezwa usiku wa…
Kuweni sehemu ya historia ya maboresho ya mahakama
Na Mary Gwera,JamhuriMedia,Mwanza Jaji Mkuu wa Tanzania,Prof. Ibrahim Hamis Juma ametoa rai kwa Majaji nchini kuwa sehemu ya maboresho ya Mahakama yanayoendelea kufanyika ili kila mmoja afahamu kwa kina kinachoendelea kwa manufaa ya Mhimili huo na umma kwa ujumla. Akizungumza…
Wanafunzi wanusurika baada ya bweni kuteketea kwa moto Songwe
Wanafunzi zaidi 60 wa kidato cha tano na sita katika shule ya Sekondari Vwawa day iliyopo katika mji wa Vwawa Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe wamenusurika baada ya bweni lao kuteketea kwa moto asubuhi ya April, 14 wakiwa darasani na…
Wagonjwa 6,000 wa Hemophilia hawatambuki
Imeelezwa kuwa, wagonjwa 6,000 wenye ugonjwa wa Hemophilia hawajatambulika, huku kati yao wagonjwa 294 pekee ndio walioanza matibabu nchini Tanzania. Akizungumza jijini Dar es Salaam, wakati wa semina kwa waandishi wa habari na wataalamu wa afya, MRATIBU Wa Kuongeza Kasi…
Mahakama ya Tanzania yazidi kupanda chati uboreshaji huduma
Na Stephen Kapiga,JamhuriMedia,Mwanza Msajili Mkuu-Mahakama ya Tanzania,Wilbert Chuma amesema kuwa Mahakama imepiga hatua kubwa katika kuhakikisha kuwa upatikanaji wa nakala za hukumu kwa ngazi ya Mahakama ya Rufani na Mahakama Kuu kupitia tovuti ya Tanzlii na hivyo kuweza kumrahisishia mwananchi…