Author: Jamhuri
Rais Paul Kagame alipowasilia jijini Dar leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame mara baada ya Kuwasili katika ukumbi wa Kikwete, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Aprili, 2023. Rais wa Jamhuri ya…
Balile:Tunaamini upatikanaji sheria rafiki kwa wanahabari ni ya kidiplomasia
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF),linaamini kuwa njia bora ya kupigania upatikanaji sheria rafiki kwa vyombo vya habari ni ya kidiplomasia. Hayo yamesemwa na mwenyekiti wa jukwaa hilo Deodatus Balile,wakati wa mkutano wa mtandaoni (online meeting) uliofanyika…
Maamuzi magumu ya Rais yalivyookoa Watanzania 200 Sudan
*Aagiza operesheni maalumu iliyofanikisha kuwarejesha Watanzania nyumbani * Tanzania pia ilisaidia kuokoa raia wa mataifa mengine, ikiwemo Marekani, Uingereza, Kenya, Uganda, Sierra Leone, Malawi, Zambia na Msumbiji Ujasiri, maamuzi magumu na ya haraka ya Rais Samia Suluhu Hassan yamefanikisha kuokolewa…
Waziri Mkuu atoa maagizo kuimarisha uhifadhi endelevu
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amelitaka Jeshi la Polisi kuchunguza matukio yote yaliyotolewa taarifa kuhusu kuteswa, kuumizwa na kuuawa kwa baadhi ya Wananchi waliotuhumiwa kuingia ndani ya hifadhi na watakaobainika wachukuliwe hatua stahiki. Ametoa agizo hilo leo Alhamisi (Aprili 27, 2023)…
Wafanyakazi TASAF watakiwa kuzingatia maadili
Wafanyakazi wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF), wametakiwa kufanya kazi kwa ueledi na kuzingatia maadili huku wakiepuka ubaguzi wa aina yoyote katika utekeleaji wa majukumu yao. Hayo yamesemwa leo Alhamisi Aprili 27, 2023 na Katibu Mkuu Ikulu, Mululi Mahendeka…
Vivutio vya Tanzania vyavutia wengi nchini Malawi
Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) inashiriki katika onesho la Nne la Takulandirani Malawi International Tourism Expo kwa lengo la kutekeleza mkakati wa ushirikiano wa kutangaza vivutio vya utalii vilivyopo Katika nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC…