JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Aliyemtukana Rais Samia atupwa jela miaka sita Chato

Na Daniel Limbe, JamhuriMedia, Chato Msanii wa nyimbo za asili ya Kisukuma,Dawa Juma,mkazi wa kijiji cha Makurugusi wilayani Chato mkoani Geita,amehukumiwa kifungo cha miaka sita jela au kulipa faini ya shilingi milioni 10 baada ya kupatikana na hatia ya kumtukana…

Waziri Uganda auwa kwa kupigwa risasi na mlinzi wake

Mwanajeshi wa Jeshi la Uganda amempiga risasi na kumuua waziri katika Serikali ya Uganda ambaye alikuwa akimlinda. Kanali mstaafu Charles Okello Engola, ambaye alikuwa Naibu Waziri wa Kazi, alipigwa risasi nyumbani kwake katika mji mkuu, Kampala, Jumanne asubuhi. Haijajulikana wazi…

TPA yaibuka kinara wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi kwenye sekta ya umma

Na Mwandishi Wetu Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imeibuka kinara wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi kwenye Sekta za Umma na hivyo kukabidhiwa  tuzo kwenye kilele cha Maadhimisho ya kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Usalama na…

CCM Zanzibar yampongeza Rais Dkt.Mwinyi kupandisha viwango vya pensheni kwa wastaafu

NA IS-HAKA OMAR, JamhuriMedia, Zanzibar Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, kinampongeza kwa dhati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Mwinyi,kwa maamuzi yake ya kupandisha viwango vya pencheni za wastaafu pamoja pencheni jamii kwa wazee wenye umri wa…

Rais Mwinyi ahutubia Siku ya Wafanyakazi Duniani viwanja vya Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika viwanja vya mpira Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja kwa ajili ya kupokea Maandamano ya Wafanyakazi kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi,  yaliyofanyika katika Mkoa wa…