Author: Jamhuri
Waziri Mkuu apiga kura kijijini kwake Nandagala Lindi
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Novemba 27, 2024 ameshiriki katika zoezi la upigaji kura kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji, kwenye kituo cha Shule ya Msingi Nandagala, Ruangwa, Lindi Novemba 27, 2024. Akizungumza baada ya kupiga kura…
DC Chato aungana na wananchi kupiga kura
Na Daniel Limbe,Jamhuri Media Chato LEO ikiwa siku maalumu kwa wananchi wa Tanzania bara kupiga kura ili kuwachagua viongozi wao wa serikali ya mitaa,vijiji na vitongoji, Mkuu wa wilaya ya Chato,Louis Bura,ameungana na wananchi wa wilaya hiyo kupiga kura ili…
Balozi Nchimbi akipiga kura Dodoma
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amepiga kura yake katika Kituo cha Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Kilimani, kwa ajili ya kuchagua viongozi wa Serikali ya mtaa anaoishi, eneo la Kilimani, jijini Dodoma…
Wananchi wachagua viongozi Serikali za Mitaa
📌 DKT. Biteko apongeza Wananchi Kujitokeza kwa wingi 📌Awahimiza kujitokeza kuwachagua viongozi Watanzania katika maeneo mbalimbali ya nchi wamejitokeza kupiga kura kwa ajili ya kuwachagua viongozi wao ngazi ya Serikali za Mitaa. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe….