Author: Jamhuri
Tanzania, Uingereza zajadili mpango wa kuongeza thamani madini muhimu mkakati
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Serikali ya Tanzania na Uingereza Aprili 8, 2025 zilikutana na kujadili kwa pamoja Taarifa ya Uchambuzi wa Kina iliyoonesha fursa za kuongeza thamani madini za muda Mfupi na wa Kati wa Madini Muhimu na Mkakati…
EACOP yakabidhi cheti cha haki ya kimila ya umiliki wa ardhi kwa jamii ya Akie
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kiteto Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP), umekabidhi cheti cha haki ya kimila ya umiliki ya ardhi ya kimila ya umiliki wa ardhi yam situ mtakatifu kwa jamii ya Akie iliyopo Kiteto…
Ushuru wa Trump unaojumuisha asilimia 104 dhidi ya China waanza kutekelezwa
Rais wa Marekani Donald Trump amesifu hatua yake ya kuziongezea ushuru bidhaa za nchi nyingi duniani zinazoingizwa Marekani akisema ni muhimu kwa maono yake kwa ajili ya Marekani. Kauli yake inakuja wakati akiiongezea maradufu ushuru China wa hadi asilimia 104….
79 wafariki baada ya paa kuporomoka klabuni Jamhuri ya Dominika
Watu 79 wamekufa baada ya paa la klabu moja maarufu ya usiku katika Jamhuri ya Dominika kuporomoka. Miongoni mwa waliokufa katika tukio hilo la usiku wa manane ni mwanasiasa mmoja na mchezaji nyota wa Baseball. Mwanamuziki maarufu wa mtindo wa…
Ulega : Ujenzi madaraja matano hautaathiri mipango ya kudumu
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Lindi Serikali imefafanua kwamba kazi ya ujenzi wa madaraja matano kwenye barabara Kuu ya Dar es Salaam – Lindi zilikuwa zinaendelea na haitaathiriwa na juhudi za sasa za kukarabati maeneo yaliyoharibiwa na mafuriko ya mvua katika…
Ongea na Mwanao, mwimbaji wa injili Christina Shusho kushiriki tamasha la mtoko wa Pasaka
Na Magrethy Katengu, JammhuriMedia, Dar es Salaam Taasisi ya Mama Ongea na Mwanao imetangaza kuunga mkono juhudi za mwimbaji mashuhuri wa nyimbo za injili, Christina Shusho, katika maandalizi ya tamasha la Mtoko wa Pasaka linalotarajiwa kufanyika Aprili 20 katika ukumbi…