Author: Jamhuri
Serikali yajipanga kuendelea kunufaika na fursa za mtangamano wa kikanda
SERIKALI ya Tanzania imejipanga kuendelea kunufaika na fursa zinazotokana na Mtangamano wa Kikanda ili kuwawezesha watanzania kufaidika na uanachama wa Tanzania katika Jumuiya mbalimbali za kikanda. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,…
Serikali yaandaa mfumo wa huduma ndogo za fedha
Kamishna Msaidizi wa Idara ya Maendeleo ya Sekta ya Fedha, Wizara ya Fedha na Mipango, Dionisia Mjema akifungua kikaokazi cha kuainisha mahitaji ya mfumo wa kielektroniki wa usajili na usimamizi wa Mifuko na Programu za uwezeshaji Wananchi Kiuchumi kilichofanyika jijini Dodoma. Na Farida…
DC Simanjiro akagua miradi ya elimu msingi, asisitiza ubora
NA Mwandishi Wetu Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro, Dk. Suleiman Serera, anaendelea na ziara ya kutembelea na kukagua miradi ya elimu ya msingi inayotekelezwa wilayani humo na amesisitiza ijengwe kwa ubora, kuzingatia taratibu za ununuzi na kukamilishwa kwa wakati. Katika…
TBS yateketeza shehena ya bidhaa hafifu za vipodozi na chakula Mwanza
Na Mwandishi Wetu, Mwanza Shehena ya bidhaa mbalimbali vikiwemo vipodozi vyenye viambata vya sumu zenye uzito wa tani sita zimeteketezwa baada ya kuondolewa sokoni kutokana na kutokidhi matakwa ya viwango. Bidhaa hizo zimeteketezwa na Shirika la Viwango Tanzania (TBS) katika…
Gekul asisitiza mawakili kutoa msaada wa sheria kwa wananchi
Kampeni Naibu waziri wa Katiba na Sheria Paulina Gekul amewataka wanasheria na wasaidizi wa sheria kutumia uwezo wao na maarifa waliyonayo kuwasaidia wahanga wa vitendo vya ukatili na wahitaji wengine kupata haki zao. Ametoa agizo hilo wakati akifungua mafunzo maalum…
Gwajima: Ukatili umeongezeka, wazazi wafanyeni vikao na watoto wenu
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Serikali imezindua kampeni ya Kitaifa ya elimu ya mmonyoko wa maadili ambayo itafanyika kwa kipindi cha miezi sita kuanzia Juni hadi Desemba mwaka huu huku akiwataka wazazi na walezi kufanya vikao vya mara kwa mara na…