Author: Jamhuri
Kafulila:Msingi wa PPP ni kuondoa migogoro kati ya Serikali na sekta binafsi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar KAMISHNA wa Idara ya Ubia Kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP), David Kafulila amesema sababu ya kuundwa kwa taasisi hiyo ulitokana na kuwepo kwa mikataba mibovu kati ya Serikali na sekta binafsi….
NMB yakabidhi viti, meza za Mil. 15/- kwa Sekondari Mafia
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Pwani Benki ya NMB imekabidhi msaada wa viti 100 na meza 100 vyenye thamani ya Sh. Mil. 15, kwa matumizi ya wanafunzi wa Shule za Sekondari Kidawendui na Jibondo, zilizoko Mafia mkoani Pwani, vifaa vilivyopokelewa na…
Wananchi kushirikishwa kuondoshwa kwa kijiji cha Ngaresero
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia, Dodoma Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mary Masanja amesema Serikali itawashirikisha wananchi kuhusu utekelezaji wa Maamuzi ya Baraza la Mawaziri ya kukiondoa Kijiji cha Ngaresero katika Pori Tengefu la Ziwa Natron. Naibu Waziri huyo ameeleza hayo Bungeni…
‘Nishati mbadala muarobaini wa ukataji miti kiholela’
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia,Bagamoyo Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa( 2023) ,Abdallah Shaib amehimiza wananchi kuongeza matumizi ya Nishati Mbadala (gesi) ,badala ya kutumia mkaa na kuni ambao huchochea ongezeko la ukataji miti kiholela. Alitoa msukumo huo ,katika…
Serikali yatoa ufafanuzi kufungiwa kwa kumbi za starehe
Serikali imetolea ufafanuzi kuhusu baa na kumbi za starehe zilizokiuka utaratibu baada ya kubainika kupiga muziki uliozidi viwango katika mikoa mbalimbali nchini na hivyo kukiuka Sheria ya Mazingira ya mwaka 2004. Ufafanuzi huo umetolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya…