JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Jumuiya ,Taasisi za Kiislamu zataka sheria ya ndoa izungumzwe ngazi ya jamii

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania zimeshauri swala la sheria ya ndoa lisifikishwe bungeni na badala yake libaki kwenye majadiliano ngazi ya jamii kwa kuwa linagusa Imani za dini na sio la kisiasa. Katibu wa…

Waliohitimu kidato cha sita 2023 waitwa JKT

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limewataka wahitimu wa kidato cha sita waliohitimu elimu ya Sekondari kwa mwaka 2023 kutoka shule zote za Tanzania Bara kuhudhuria mafunzo ya JKT kwa Mujibu wa Sheria kwa mwaka 2023….

‘Vifo vilivyohusisha ulaji nyama ya ng’ombe Rombo havihusiani na Kimeta’

Serikali imesema vifo vya watu wawili vilivyotokea kwa ulaji wa nyama kwenye kijiji cha Msaranga kilichoko Kata ya Kisale, Wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro Mei 4 mwaka huu havihusiani kabisa na ugonjwa wa kimeta. Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa…

Mahabusu walalamikia vitendo vya rushwa Manyara, Serikali yatoa amri

Na Lusajo Mwakabuku , JamhuriMedia, Manyara NAIBU Waziri wa Katiba na Sheria Pauline Gekul ameuagiza Uongozi wa Ofisi ya Mashtaka Mkoa wa Manyara pamoja na viongozi wa Jeshi la Polisi Mkoani humo kufanya uchunguzi juu ya tuhuma zilizotolewa na mahabusu…