Author: Jamhuri
Nchi za Kusini mwa Afrika kuendeleza soko la ndani la mitaji
Na Peter Haule, JamhuriMedia, Arusha Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Dkt. Natu El- Maamry Mwamba, amesema kuwa nchi za Kusini mwa Afrika zinaangalia namna ya kuendeleza soko la ndani la mitaji kwa kutumia Hati fungani ili kuziwezesha…
TANESCO yaandika historia, yasaini mradi wa kuzalisha umeme jua wenye thamani ya Bilioni 274.76/-
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Shirika la Umeme nchini (TANESCO) limeandika historia kwa kusaini mkataba wa kuzalisha umeme jua wenye thamani ya Bilioni 274.76 Kwa kutumia teknolojia ya “Solar Photo Voltaic”Wenye uwezo wa kuzalisha megawatt 150 za umeme. Mkurugenzi Mtendaji…
Bola Tinubu aapishwa kuwa Rais wa Nigeria
Rais mteule wa Nigeria Bola Tinubu ameapishwa leo kuwa kiongozi wa taifa hilo lenye idadi kubwa zaidi ya watu barani Afrika linalokabiliwa na changamoto nyingi. Anaingia rasmi madarakani huku raia wakiwa na matumaini mapya ya maisha bora na masuala mengine…
Wabunge wafurahishwa utekelezwaji mradi wa bomba la mafuta ghafi EACOP
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wameusifu mradi wa bomba la Mafuta Ghafi la Afrika ya Mashariki (EACOP) kwa kutoa fidia nzuri kwa waliopitiwa na mradi huo na kutoa kipaumbele katika maeneo mengine ikiwemo utunzaji wa mazingira….