Author: Jamhuri
Serikali kutumia trilioni 4.20 ujenzi vituo vya kupoza umeme kila wilaya
Na Jacquiline Mrisho, JamhuriMedia- MAELEZO Mradi wa Ujenzi wa Vituo vya Kupoza Umeme katika kila wilaya nchini unakadiriwa kutumia jumla ya shilingi trilioni 4.20 ambazo zitatolewa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Akiwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Makadirio…
Serikali yathibitisha visa 64 vya UVIKO -19
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Serikali imesema katika kipindi cha kuanzia Aprili 22 hadi Mei 26,2023 jumla ya visa vipya 64 vilithibitika kuwa na maambukizi ya UVIKO -19 ikilinganishwa na visa vipya 45 vilivyothibitika wiki nne zilizopita,idadi hii ni sawa na…
Jaji Makungu ateuliwa kuwa Jaji Mahakama ya Afrika Mashariki
Na Mwandishi wetu, JamhuriMedia Jaji wa Mahakama ya Rufani ya Tanzania, Omar Othman Makungu ameteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki, Divisheni ya Rufani. Uteuzi huo ambao umefanyika mjini Bujumbura, Burundi katika Mkutano wa Marais wa Nchi…
Jafo: Athari za mazingira zimesababisha mfumuko wa bei
……………………………………………………………….. Imeelezwa athari za kimazingira nchini zimechangia kupanda kwa bei ya vyakula ikiwemo unga wa mahindi kutoka na kukosekana kwa mvua na hata maeneo ilikonyesha ilikuwa ni chini ya wastani. Hayo yameelezwa leo Juni 1,2023 jijini Dodoma na Waziri wa Nchi…
Watu 15 wafamilia moja wafariki kwa kunywa uji Namibia
Watu 15 wa familia moja wamefariki nchini Namibia baada ya kunywa uji ambao maafisa wanaamini ulikuwa na sumu. Hili ni miongoni mwa matukio mabaya zaidi nchini humo ya maafa yanayotokana na chakula kibovu. Vyombo vya habari nchini humo vimeripoti kuwa…