Author: Jamhuri
Yanga yashindwa kuweka historia, Mayele akichukua kiatu cha dhahabu
Klabu ya Yanga imeshindwa kuwa mabingwa licha kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya USM Algers kwenye mchezo wa Fainali kombe la Shirikisho mkondo wa pili mara baada ya matokeo ya kwanza akiwanyumbani kuruhusu kufungwa mabao 2-1. Katika mchezo huo…
Waziri Dkt.Tax amwakilisha Rais mkutano wa ICGLR
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb) amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa 10 wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali…
Serikali kuwachukulia hatua watumishi walioshindwa kujibu hoja za CAG Z’Bar
Na Mwandishi Wetu, JamhuriiMedia, Zanzibar Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema itawachukulia hatua za kisheria watumishi kutoka taasisi na mashirika ya Umma walioshindwa kutoa majibu kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) katika ripoti ya mwaka wa…
Wizara kushirikiana na wafanyabiashara wakubwa wa madini
Serikali inatambua umuhimu wa Sekta binafsi katika mchango wake kwenye Sekta ya Madini na inapongeza juhudi za sekta hiyo katika kuwekeza kwenye Sekta ya Madini ili kuongeza mchango katika Pato la Taifa. Lengo la kukutana ilikuwa ni kuifanya Sekta ya…
Ndomba aishauri jamii kutumia bidhaa zinazotengenezwa nchini
Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea Jamii imeshauriwa kutumia bidhaa zinazotengenezwa ndani ya nchi ili kuimarisha viwanda na kujenga uchumi wa nchi badala ya kuagiza bidhaa kutoka nje ya nchi. Wito huo umetolewa jana na Mwenyekiti wa Bodi ya kampuni ya…