Author: Jamhuri
Mwalimu ahukumiwa kwa kutafuna sh.200,000 za uchaguzi mkuu 2015
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tabora Mwalimu wa shule ya msingi Chipukizi Kata ya Igunga wilayani Igunga Mkoani Tabora Andrew Rutabagisha (41) ametiwa mbaroni na Mahakama ya Hakimu Mfawidhi wilayani hapa baada ya kukutwa na kosa la wizi wa fedha za uchaguzi…
Mpango aitaka NEMC kuongeza nguvu kusimamia katazo la matumizi ya mifuko ya plastiki
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amelitaka Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) pamoja na Mamlaka za Serikali za Mitaa kote nchini kuongeza nguvu zaidi katika kusimamia utekelezaji wa katazo…
NHIF yaelekezwa kutoa huduma mpaka ngazi ya zahanati
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel ameelekeza Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya kutoa huduma mpaka ngazi ya zahanati kwa vituo vyote vilivyokidhi vigezo vya kupewa huduma hiyo, ikiwemo kigezo cha kusajiliwa. Dkt. Mollel ametoa maelekezo hayo leo…
Peramiho wahimizwa kurasimisha biashara zao BRELA ili kupata fursa mbalimbali
Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Bunge na Uratibu) na Mbunge wa Jimbo la Perahimo, Jenista Mhagama amewataka wananchi wa Jimbo hilo kurasimisha biashara zao ili kwenda na wakati na kujiletea maendeleo ya…
TPA yaweka wazi mikakati kuimarisha ushirikiano na nchi jirani zinazotumia Bandari ya Karema
Na Mwandishi Wetu, Katavi Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imefanya jitihada mbalimbali za kufanya vikao na wadau mbalimbali wakiwemo wafanyabiashara kutoka nchi jirani ambazo zinatumia bandari ya kimkakati ya Karema. Lengo la kufanyika kwa vikao hivyo ni kuendeleza…
Rais Dkt. Samia awaalika Yanga kwa chakula cha jioni kesho Jumatatu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kesho Juni 5, 2023 ameialika timu ya Dar es Salaam Young Africans (Yanga) kwa chakula cha jioni Ikulu, Jijini Dar es Salaam kwa lengo kuipongeza kwa kufanya vizuri katika…