JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Shirika la Akili Platform lashiriki Siku ya Mazingira Duniani kwa kutoa elimu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Shirika la Akili Platform Tanzania linalojiusisha na afua ya Afya ya Akili, mazingira na haki za binadamu Tanzania leo Juni 5 , 2023 Siku ya Mazingira Duniani wameshiriki kwa vitendo katika kutunza mazingira kwa kufanya usafi…

Sayansi na Teknolojia kuchochea maendeleo nchini

Na Immaculate Makilika , JamhuriMedia, MAELEZO Serikali imesema kuwa imejipanga kuhakikisha sayansi na teknolojia inatumika ili kuleta chachu katika maendeleo nchini. Akizungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari leo Jijini Dar es Salaam, kuhusu Kongamano la Kitaifa la Nane la…

Majaliwa:Watendaji wa Serikali zingatieni sheria

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka watendaji wa idara na taasisi zote za Serikali watekeleze majukumu yao kwa kuzingatia sheria hususan katika huduma wanazozitoa na miradi wanayoisimamia ili kuiepusha Serikali kuingia katika migogoro ambayo inaweza kuepukika. “Watendaji wote wa Serikali zingatieni…

TMA yatoa angalizo ya mvua kubwa

Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini Tanzania (TMA), imetoa angalizo ya siku mbili  ya kunyesha kwa mvua kubwa  kwa baadhi ya maeneo machache ya mikoa ya Dar es Salaam na Pwani (Visiwa vya Mafia ,Tanga, visiwa vya Unguja na Pemba)….

Watano wafariki, 20 wajeruhiwa Morogoro

Watu watano wamefariki na wengine 20 kujeruhiwa baada ya gari walilokua wakisafiria  Toyota  Coaster yenye namba za usajili T .938 DVQ Lilikua linatokea mkoani Mbeya kuelekea Dar es Salaam  kugongana  na lori la mzigo lenye namba za usajili  T. 693…

Zungu: Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo wametukumbusha mbali sana

……………………………………………………………………………………………………………………….. Na Eleuteri Mangi, JamhuriMedia,, Dodoma Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mussa Azan Zungu amewapongeza Uongozi wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa kuweka bidhaa ambazo ndizo wanazifanyia kazi na kusema imewakumbusha mbali sana….