Author: Jamhuri
Miaka 40 jela kwa ujangili meno ya tembo Lushoto
Mahakama Wilayani Lushoto mkoani Tanga mwishoni mwa wiki hii imewatia hatiani watuhumiwa 3 ambao ni Hassan Kashamba, Elihudi Andrew na Godson Kitau kwa makosa mawili ya kukutwa na kijihusisha (Possession and Dealing) na nyara za serikali ambazo ni meno matano…
Shirika la Akili Platform Tanzania latoa elimu ya kujitegemea kwa vijana
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tabora Shirika la Akili Platform Tanzania limeendelea kuunganisha vijana waliopo katika mfumo wa elimu ya vyuo pamoja na wenye ulemavu Mkoa wa Tabora kwa kuwapatia elimu juu ya kilimo mviringo na elimu ya kujitegemea ili kutunza…
Bunge lapitisha azimio la mkataba wa utendajikazi wa bandari
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma. Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha azimio la kuridhia Mkataba baina ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai kupitia Kampuni yake ya DP World kuhusu ushirikiano wa Kiuchumi…
Rais Samia afanya uteuzi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewateua wafuatao Amemteua Tito Philemon Mganwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe; na (ii) Amemteua Bw. Mussa R. Kilakala kuwa Katibu Tawala wa Wilaya ya Kaliua Mkoa…
Tanzania,Zambia kutatua changamoto za usafirishaji Tunduma
Tanzania na Zambia zimekubaliana kutatua changamoto za usafirishaji wa mizigo baina ya nchi hizo hususani foleni ya maroli katika eneo la Tunduma ili kupunguza gharama na muda kwa wasafirishaji. Akizungumza mara baada ya kikao cha cha Makatibu Wakuu, Wataalam na…