Author: Jamhuri
Timu ya Taifa ya walemavu wa akiliI waenda Ujerumani kushiriki michezo ya dunia
Na Mwandishi Wetu Wawakilishi wa Tanzania kwenye michezo ya Dunia kwa watu wenye ulemavu wa akili wameondoka kuelekea Ujerumani kushiriki michezo hiyo itakayoanza Juni 17 hadi 26. Msafara huo wa watu 27 umeondoka saa moja asubuhi ya leo, wakipanda ndege…
Katambi: Mishahara na maslahi ya madereva imeboreshwa
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Serikali imesema mshahara na maslahi kwa madereva imeboreshwa kupitia amri ya kima cha chini cha mshahara kipya kilichoanza kutumika Januari mosi 2023. Amesema, utaratibu wa kazi kwa madereva wanaoendesha magari ya IT unafanyika kwa kuingia makubaliano…
Ruvuma kuzindua kampeni ya kitaifa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia
Mkoa wa Ruvuma unatarajia kuzindua kampeni ya kitaifa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (Mama Samia Legal Aid Campaign) Julai 22 mwaka huu katika uwanja wa Majimaji mjini Songea. Mwenyekiti wa Kampeni hiyo katika Mkoa wa Ruvuma Stephen Ndaki…
Bei ya ufuta Lindi yazidi kupaa
Jumla ya tani 2,284 za ufuta ghafi kutoka kwa wakulima wa halmashauri za Mtama, Lindi na Kilwa Mkoani Lindi wanaohudumiwa na chama kikuu cha ushirika Lindi Mwambao zimeuzwa katika mnada wa kwanza uliofanywa na chama hicho kwa bei ya juu…