JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Serikali yatenga bil.5/- kugharamia huduma za kibingwa

Serikali kupitia Wizara ya Afya imetenga kiasi cha shilingi Bilioni 5 kwa ajili ya kugharamia huduma za upasuaji na matibabu ya ubingwa bobezi ili kurahisha upatikanaji wa huduma hizo kwa Watanzania wenye hali zote. Waziri Ummy amesema hayo kwenye ufunguzi…

Wakulima wa ufuta Tunduru waingiza bil.10.5/- kupitia mfumo wa stakabadhi ghalani

Na Albano Midelo, JamhuriMedia,Tunduru Wakulima wa ufuta katika Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma wameingiza zaidi ya shilingi bilioni 10.5 baada ya kuuza tani 1626 za ufuta katika minada mitatu iliyofanyika kupitia mfumo wa stakabadhi ghalani, Hayo yamesemwa na Afisa Ushirika…

Bajeti kuu ya Serikali yawasilishwa Bungeni

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Serikali imewasilisha bajeti yake kuu kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 huku ikianisha vipaumbele mbalimbali ikiwemo kuondoa ada kwa wanafunzi wa kidato cha nne ambao watakuwa wakichaguliwa kujiunga na Vyuo vya ufundi pamoja na kuondoa kodi…

Vifo vya uzazi kwa mama na mtoto vyapungua Pwani

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Vifo vya uzazi kwa mama Mkoani Pwani vimepungua kutoka vifo 96 kwa mwaka 2018 kati ya akinamama waliofika vituoni 43,488 hadi kufikia vifo 35  kwa mwaka 2022 kati ya akinamama 56,439. Aidha Vifo vya watoto…

Rais Dkt.Mwinyi azungumza na ujumbe wa UNESCO

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Mkurugenzi Mkaazi wa UNESCO Kanda ya Afrika Mashariki Prof. Hubert Gijzen (kulia kwa Rais) akiwa na Ujumbe wake walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo…

‘Akiba ya fedha za kigeni inaridhisha’

Waziri wa Fedha na Mipango,Dkt.Mwigulu Nchemba amesema kuwa akiba ya fedha za kigeni inaridhisha kukidhi mahitaji ya uagizaji wa bidhaa na huduma kutoka nje ya nchi. Akizungumza Bungeni,Dodoma wakati akiwasilisha taarifa ya hali ya uchumi wa Taifa kwa mwaka 2022…