JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Israel yakata rufaa dhidi ya waranti wa kukamatwa kwa Netanyahu na ICC

Israel iliitaarifu Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) Jumatano hii, Novemba 27, kuhusu nia yake ya kukata rufaa dhidi ya hati za kukamatwa zinazomlenga Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu na Waziri wake wa zamani wa Ulinzi Yoav Gallant kwa uhalifu wa…

Mbaroni kwa kudaiwa kukutwa na kura bandia

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kigoma Polisi mkoani Kigoma imemtia mbaroni mtu mmoja anayetuhumiwa kukutwa na karatasi za kupigia kura akiwa na nia ya kuziingiza kwenye kituo cha kupigia kura ili ziingizwe kwenye boksi la kura. Kamanda wa Polisi Mkoa Kigoma,Filemon…

Simba afanya ubaya ubwela kwa Bravos FC

Na Isri Mohamed, Jamhuri Media Dakika 90 za mtanange wa kombe la shirikisho barani Afrika ( CAFCC ) Kati ya Simba SC vs Bravos Fc zimemalizika kwa Mnyama kupata ushindi wa bao moja kwa nunge. Mtanange huo wa Hatua ya…