JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

ACT-Wazalendo yavuna wanachma wa CHADEMA

Waliokuwa wagombea udiwani wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika Kata za Rugongwe, Mukabuye na Nyaruyoba kwenye Uchaguzi Mkuu 2020 wamejiunga ACT Wazalendo na kupokelewa na Katibu Mkuu wa Chama Ndugu Ado Shaibu kwenye Mkutano Mkuu wa Jimbo la…

Rostam: Mjadala kuhusu bandari ya Dar es Salaam na DP World unaendeshwa kishabiki

Viongozi mbalimbali nchini wakiwemo wanasiasa, viongozi wa dini wameitaka serikali kuwa na mijadala ya wazi hasa mijadala inayohusu tunu na mageuzi ya kisasa yanayokuza uchumi wa Taifa. Hayo yamebainishwa Juni 19,2023 jijini Dar es Salaam wakati wa mjadala wa kitaifa…

MSD yaanza rasmi zoezi la kuhesabu mali

Bohari ya Dawa (MSD) imeanza rasmi zoezi la kuhesabu mali kwa mujibu wa sheria. Zoezi hili la kuhesabu mali linategemewa kukamilika mwishoni mwa mwezi Juni 2023 ili kuanza mwaka mpya wa fedha. Katika kipindi hiki maghala yote ya MSD Makao…

Waziri Mabula awatuliza wapangaji Kariakoo

Na Munir Shemweta, JamhuriMedia Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amewatuliza wapangaji wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) eneo la Kariakoo na kuwataka kufuata sheria na mikataba waliyoingia na shirika hilo. Dk. Mabula amekuatana na…

BoT: Shilingi ya Tanzania ndiyo fedha pekee ambayo inaruhusiwa kutumika nchini

Benki Kuu ya Tanzania inapenda kuukumbusha umma kwamba Serikali ilishatoa  Tamko kuhusu katazo la matumizi ya fedha za kigeni kwa wakaazi wa Jamhuri ya  Muungano wa Tanzania katika kulipia bidhaa na huduma nchini. Tamko la kwanza  lilitolewa mwezi Agosti 2007…

Jaji Maghimbi: Mrundikano wa mashauri Dar kuwa historia

Na Mary Gwera, JamhuriMedia,Mahakama Jaji Mfawidhi Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, Salma Maghimbi amepongeza ushirikiano wa watumishi wa Kanda hiyo uliowezesha kupunguza mlundikano wa mashauri kutoka mashauri 595 Desemba, 2022 kufikia mashauri 162 tarehe 15 Juni,…