Author: Jamhuri
Jafo awakumbusha Watanzania kutunza mazingira
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Selemani Jafo, akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuongoza zoezi la upatandaji miti lililoandaliwa na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Dodoma ikiwa ni sehemu…
IGP mstaafu Mwema azindua kitabu chake kinachozungumzia utawala na usimamizi wa sheria
Na Abel Paul wa Jeshi la Polis -Dar es Salaam Aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi (mstaafu,) Tanzania IGP Said Ally Mwema jana june 23,2023 amezindua kitabu alichokiandika chenye Sura Tisa na kichwa cha habari kisemacho POLISI,UTAWALA NA USIMAMIZI WA…
Yanga yamtambulisha kocha mkuu mpya
Timu ya Yanga SC imemtambulisha rasmi Kocha Mkuu, Miguel Angel Gamondi kuinoa timu hiyo msimu ujao akichukua nafasi ya Nasreddine Nabi aliyemaliza mkataba wake. Kocha huyo raia wa Argentina ametambulishwa leo Juni 24 na Ofisa Habari wa Klabu hiyo, Ally…
Sekta ya filamu nchini inapiga hatua kubwa Afrika
Na Eleuteri Mangi, WUSM, Dar es Salaam Serikali inaendelea kushirikiana na wadau wa sekta ya filamu nchini kupitia Mfuko wa Utamaduni na Sanaa Tanzania ambao miongoni mwa wanufaika wa mfuko huo ni wasanii wa filamu ili kuboresha kazi zao ziwe…
Watu 708 wapimwa moyo Pemba
……..………………….. Na Mwandishi Maalum , Pemba Watu 708 wamepata huduma za upimaji na matibabu ya moyo katika kambi maalum ya matibabu iliyofanyika katika Hospitali ya Rufaa ya Abdulla Mzee iliyopo wilaya ya Mkoani Kisiwani Pemba. Kambi hiyo ya siku tano…
PPRA yatambulisha rasmi mfumo wa NeST utakaodhibiti ununuzi mtandaoni
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia, Dodoma. Mamlaka ya Udhibiti wa Unusual wa Umma (PPRA) imetambulisha rasmi mfumo wake mpya wa ununuzi wa Umma wa kielektroniki ujulikanao kama NeST ili kudhibiti ununuzi wa Umma unaozingatia uwazi. Hayo yameelezwa leo Juni 23,2023 jijini Dodoma…