Author: Jamhuri
Abate achangia mil.25/-ujenzi nyumba ya mwalimu madrasa Namtumbo
Na Cresensia Kapinga, Namtumbo. Abate wa Abasia ya hanga jimbo kuu katoriki la Songea mkoani Ruvuma amechangia kiasi cha Sh. Milioni 25 kwaajili ya ujenzi wa nyumba ya mwalimu wa Madrsa katika kijiji cha Mtakanini kilichopo Wilayani Namtumbo mkoani humo….
Mo Dewji apata tuzo, amwaga sifa kwa Rais Samia
Na Mwandishi Wetu JAMHURI MEDIA Dar es Salaam. Mfanyabiashara Mohammed Dewji, maarufu ‘Mo’, amesema mazingira rafiki yaliyowekwa na Rais Samia Suluhu Hassan yamechochea maendeleo ya viwanda na kuchochea biashara Mo pia ameshinda tuzo ya Afrika ya mzalishaji bora wa bidhaa…
Bilionea wa Microsoft atembelea Tanzania
Na Mwandishi wetu JAMHURI MEDIA, Dar es Salaam Mmoja wa wanahisa wa kampuni mashuhuri duniani ya Microsoft na akihudumu kwa miaka 14 kama Mtendaji Mkuu wa Masuala ya Teknolojia katika kampuni hiyo maarufu duniani, Dkt. Nathan Myhrvold, leo Juni 25,…
Wanafunzi Mkuranga kunufaika na mkakati wa lishe bora shuleni
Na Mwamvua Mwinyi, JAMHURI MEDIA Chalinze Lishe bora ni suala muhimu kwa afya ya binadamu, na ni kichocheo cha maendeleo ndani ya jamii. Katika sekta ya elimu ,lishe ni suala mtambuka ambalo linachagiza wadau wa elimu, wazazi,walezi na jamii ,kuchangia…
Ukosefu wa ofisi za madini Tarime, changamoto kwa wachimbaji
Na Helena Magabe, JAMHURI MEDIA Tarime. UKOSEFU wa ofisi za madini Wilayani Tarime ni changamoto kubwa kwa wachimbaji na wamiliki wa mashimo ya dhahabu. Licha ya kuwa Wilaya hii imejaliwa na Mwenyezi Mungu kuwa na madini ya dhahabu karibia kila…
Mloganzila yajipanga kukabiliana na magonjwa yasiyoambukiza kwa watumishi wake
Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila imezindua Mloganzila Afya Jogging Club kwa lengo la kuhamasisha watumishi kufanya mazoezi ili kuimarisha afya zao na kukabiliana na magonjwa yasiyo ambukiza. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa Club hiyo kwa niaba ya Naiba Mkurugenzi Mtandaji,…