Author: Jamhuri
Israel yaishambulia Hezbollah licha usitishwaji mapigano
Wakati maelfu ya raia wa Lebanon wakirejea kwenye makazi yao, Israel imesema inaendelea kupambana na wanamgambo wa Hezbollah licha ya makubaliano ya kusitisha mapigano. Kulingana na taarifa iliyotolewa na msemaji wa jeshi la Israel Daniel Hagari, wanajeshi wa Israel jana…
P Didy kuuona mwaka mpya gerezani
Mahakama ya New York, Marekani imetupilia ombi la Msanii, Sean “Diddy” Combs la kutaka kuachiliwa kwa dhamana na kuishi katika nyumba binafsi (Appartment) wakati akisubiri kesi inayomkabili ya mashtaka ya usafirishaji wa Binadamu kwa ajili ya unyanyasaji wa kingono kuanza…
Watu 30 wahofiwa kufa kwenye maporomoko ya ardhi Uganda
Takribani watu 30 wanahofiwa kufa baada ya kutokea maporomoko ya ardhi katika kijiji kimoja mashariki mwa Uganda. Hayo yamesemwa na afisa mmoja wa eneo hilo aliyeonya kuwa idadi hiyo huenda ikapanda. Mkuu wa Wilaya ya Bulambuli, Faheera Mpalanyi ameliambia shirika…
Tanzania yaendelea kupaa utalii tiba
Na Mwandishi Wetu MADAKTARI bingwa 20 kutoka hospitali kubwa nchini wamesafiri kwenda nchini Comoro kwaajili ya kuweka kambi ya wiki moja ya uchunguzi na utoaji huduma za kibingwa za magonjwa mbalimbali ikiwemo upasuaji wa moyo, saratani na ubongo. Madaktari hao…
Mfahamu Dk Faustine Ndungulile shujaa wa afya Afrika
Na Isri Mohamed, Jamhuri Media Ni simanzi na huzuni zimetawala kwa wakazi wa Kigamboni, wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Serikali na Taifa zima kwa ujumla kufuatia kifo cha Mbunge wa Jimbo la Kigamboni, Dkt Faustine Ndugulile kilichotokea usiku…