Author: Jamhuri
Bajeti Kuu ya Serikali yapita kwa kishindo
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania limepitisha Bajeti Kuu ya Serikali ya Mwaka wa fedha wa 2023/2024,ya Shilingi Trilioni 44.39 kwa kura 354 kati ya kura 374 zilizopigwa ambapo kura 20 ni za wabunge…
Prof.Lumumba awataka wasanii vijana kutumia Jukwaa la ZIFF katika ubunifu wa filamu
Na Andrew Chale, JamhuriMedia, Zanzibar. MWANAMAJINUNI wa Afrika, Profesa Patric Loch Otieno Lumumba ambaye pia akifahamika kama Prof. PLO Lumumba ametoa rai kwa sanii Vijana wa Afrika hususani Afrika Mashariki kutumia jukwaa la tamasha la Nchi za Jahazi (ZIFF) katika…
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Eliezer Feleshi atoa maneno mazito mjadala wa DP World
* Achambua mkataba kati ya Dubai na Tanzania kipengele kwa kipengele * Apangua upotoshaji wa bandari kuuzwa, mkataba wa miaka 100 au maisha * Aonya kuhusu madhara ya kubagua wawekezaji kutoka nchi fulan * Asisitiza kuwa mpaka sasa TPA haijaingia…
Wakulima wapewa elimu ya usawa wa kijinsia
Na Rahma Khamis, JamhuriMedia, MAELEZO Wajasiriamali wa kilimo cha mboga mboga mboga na matunda wametakiwa kushiriki katika miradi mbalimbali ya kimaendeleo ili kujikwamua kiuchumi. Akizungumza wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwelewa wakulima wa viungo mboga mboga na matunda kuhusiana na…
Serikali yawatahadharisha wananchi Iringa kutembea usiku
Serikali imewatahadharisha Wananchi Mkoani Iringa kuacha kutembea usiku ili kuepukana na madhara ya kuvamiwa na Simba walioingia katika makazi ya watu. Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) ameyasema hayo leo jijini Dodoma alipokuwa akijibu swali la…