Author: Jamhuri
Serikali yaongeza vituo maalumu 175 vya huduma mahututi kwa watoto wachanga
NAIBU Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amesema, Serikali imeongeza vituo vyenye vyumba maalumu kwa ajili ya kutoa huduma kwa watoto wachanga wenye umri kati ya sifuri mpaka mitano wenye hali mahututi (Neonatal Care Unit), kutoka 18 mwaka 2017 kufikia…
Wakala wa meli Tanzania waunga mkono ujio wa DP World
Na Mwandishi Wetu Chama cha Wakala wa Meli Tanzania (TASAA) kimeunga mkono mpango wa Serikali wa kuleta uwekezaji wa kampuni ya DP World kwenye bandari ya Dar es Salaam, kikisema kuwa uwekezaji huo utasaidia kuongeza ufanisi wa bandari na kukuza…
Wadau wa afya washauriwa kushirikiana MSD kutatua mnyororo wa ugavi wa bidhaa za afya
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Katibu Tawala Mkoa wa Dar es Salaam Rehema Madenge, amewataka wadau wa afya mkoani humo, kushirikiana kwa karibu na Bohari ya Dawa (MSD) ili kuboresha huduma na kutatua changamoto mbalimbali zinazoukabili mnyororo wa ugavi wa bidhaa…
Aweso akiri kuwepo udhaifu kwa baadhi ya miradi ya maji nchini
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Licha ya Serikali kutumia fedha nyingi kwa ajili ya ujenzi wa miradi ya maji katika maeneo mengi nchini bado lipo tatizo la miradi hiyo kushindwa kuwa endelevu na kuisababishia hasara Serikali. Waziri wa Maji nchini…
AFF na Muhimbili kuimarisha ushirikiano
Na Mwandishi Wetu JAMHURI MEDIA, Dar es Salaam Taasisi ya African Future Foundation (AFF) ya nchini Korea itaendelea kushirikiana na Hospitali ya Taifa Muhimbili (Mloganzila) ili kuongeza ujuzi na weledi kwa watalaamu wa Hospitali hiyo. Hayo yamesemwa leo na Rais…
Assemble waipa Muhimbili luninga 10
Na Mwandishi Wetu, JAMHURI MEDIA, Dar es Salaam. Kampuni ya Bima ya Assemble Insurance (T) Ltd imetoa msaada wa luninga 10 kwa Hospitali ya Taifa Muhimbili ikiwa ni sehemu ya mpango wa kampuni hiyo kurejesha kwa jamii. Akipokea msaada huo…