JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Rais Samia kufungua mkutano mkuu wa Chama cha Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki

Na Zulfa Mfinanga, JamhuriMedia, Arusha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni Rasmi kwenye Mkutano Mkuu wa 21 wa chama cha majaji na mahakimu wa Afrika Mashariki (EAMJA) unatarajiwa kufanyika jijini hapa kuanzia…

Israel yaishambulia Hezbollah licha usitishwaji mapigano

Wakati maelfu ya raia wa Lebanon wakirejea kwenye makazi yao, Israel imesema inaendelea kupambana na wanamgambo wa Hezbollah licha ya makubaliano ya kusitisha mapigano. Kulingana na taarifa iliyotolewa na msemaji wa jeshi la Israel Daniel Hagari, wanajeshi wa Israel jana…

P Didy kuuona mwaka mpya gerezani

Mahakama ya New York, Marekani imetupilia ombi la Msanii, Sean “Diddy” Combs la kutaka kuachiliwa kwa dhamana na kuishi katika nyumba binafsi (Appartment) wakati akisubiri kesi inayomkabili ya mashtaka ya usafirishaji wa Binadamu kwa ajili ya unyanyasaji wa kingono kuanza…

Watu 30 wahofiwa kufa kwenye maporomoko ya ardhi Uganda

Takribani watu 30 wanahofiwa kufa baada ya kutokea maporomoko ya ardhi katika kijiji kimoja mashariki mwa Uganda. Hayo yamesemwa na afisa mmoja wa eneo hilo aliyeonya kuwa idadi hiyo huenda ikapanda. Mkuu wa Wilaya ya Bulambuli, Faheera Mpalanyi ameliambia shirika…