Author: Jamhuri
Hekari 535 za mirungi zateketezwa Same
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Katika kuhakikisha dawa za kulevya zinatokomea nchini Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya kwa kushirikiana na vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama, imefanikiwa kuteketeza hekari 535 za mashamba ya mirungi katika operesheni maalum…
Thamani ya hisa za NICOL yaendelea kupaa DSE
Na Mwandishi Wetu, Jamhurimedia Kampuni ya Uwekezaji ya NICOL, imeendelea kufanya vizuri sokoni kwa kupata ongezeko ya faida ya shilingili bilioni 6.2 mwaka huu kulinganisha na faida ya shilingi bilioni 4.1 ya mwaka 2021. Hayo yamesemwa jana na Ofisa Mtendaji…
‘Wanaume watano, mmoja anashinikizo la juu la damu’
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amewataka wananchi kuzingatia ushauri wa afya unaotolewa na wataalamu ikiwemo kula kadri inavyoshauriwa na wataalamu ili kujiepusha na magonjwa yasiyoambukiza ikiwemo magonjwa ya figo. Chalamila ameyasema hayo…
NEC yajadili mkataba wa DPW, yaelekeza Serikali kutoa elimu kwa umma
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma. Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM )ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, ameongoza Kikao Cha Halmashauri kuu ya CCM Taifa kilichotanguliwa na Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu…
Jukwaa la Kimataifa la Sekta ya Madini kuwakutanisha wadau wa ndani na nje Oktoba 25
Wananchi na wadau wanaotembelea maonesho ya Sabasaba wamekaribishwa kupata taarifa kuhusu namna ya kushiriki katika Jukwaa la Kimataifa la Sekta ya Madini kwa kujisajili katika tovuti maalum ya mkutano. Mratibu wa Jukwaa la Mkutano wa Kimataifa kutoka Wizara ya Madini…