JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Naibu Waziri Chumi ashiriki Kongamano la Biashara na Uwekezaji la Zanzibar na Ubelgiji

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Cosato Chumi (Mb.) ameshiriki kwenye Kongamano la Biashara na Uwekezaji la Zanzibar na Ubelgiji lililofanyika tarehe 28 Novemba, 2024, Zanzibar na kufunguliwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais…

Wadau wa jinsia wataka NAOT kufanya ukaguzi unaozingatia jicho la jinsia

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma MTANDAO wa Jinsia Tanzania(TGNP) umefanya kikao kazi cha kuwezesha Menejimenti ya Ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Serikali (NAOT) kuzingatia masuala ya kijinsia wakati wa kufanya ukaguzi ili kuimarisha uelewa wa masuala ya Jinsia. Akizungumza November 28,2024 Jijini…

Israel yaendeleza mashambulizi Gaza na kuuwa watu 17

Wapalestina 17 wameuawa kwenye mashambulizi ya kijeshi ya Israel katika Ukanda wa Gaza, wakati vikosi vya Israel vikiendeleza mashambulizi kwenye maeneo ya kati na kuvisogeza vifaru vyao kaskazini na kusini mji huo. Watu sita waliuauwa katika mashambulizi mawili tofauti ya…

Putin: Mashambulizi ya Ukraine ni ujumbe mkali kwa Magharibi

Rais wa Urusi Vladmir Putin amesema mashambulizi makali ya angani yaliyoilenga miundombinu ya nishati ya Ukraine yalikuwa jibu kwa Kyiv kuyapiga maeneo ya Urusi kwa kutumia makombora iliyopewa na nchi za Magharibi. Akiahidi kuwa Moscow siku zote itajibu matumizi ya…

Polisi : Taarifa wagombea Katavi, Kigamboni ni za kutengeneza

Zipo taarifa kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vingine inayoonyesha kutolewa na Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Katavi, Roda Kunchela ikieleza kuwa, mgombea wa Mtaa wa Miembeni Kilimahewa kupitia CHADEMA, Nsajigwa Mwandembwa alikamatwa na Polisi akiwa nyumbani kwake. Aidha, ameeleza…