Author: Jamhuri
Biteko: Bagamoyo inazalisha madini ya chumvi tani 90,000 kwa mwaka
Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Bagamoyo Wilaya ya Bagamoyo,mkoani Pwani, inazalisha chumvi tani 90,000 hadi tani Laki moja kwa mwaka. Kutokana na kiwango hicho cha uzalishaji kwenye sekta ndogo ya madini ya chumvi wilayani humo, Serikali imekusudia kuweka mazingira wezeshi ambapo tayari imeshapata…
Mwanafunzi,mpenzi wake mbaroni kwa kuishi kama mke na mume
Polisi mkoani Songwe linamshikilia Lukia Magwaza (21), mkazi wa kijiji cha Shasya Kata ya Halunga, wilayani Mbozi kwa tuhuma za kumuoa mwanafunzi (jina limehifadhiwa) aliyetakiwa kujiunga na kidato cha tano. Mwanafunzi huyo ambaye naye anashikiliwa na jeshi hilo anadaiwa kuwa…
Rais Samia ampokea Rais wa Hungary, Ikulu Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amempokea Rais wa Hungary, Katalin Novak katika Ikulu ya Magogoni,Dar es Salaam leo Julai 18, 2023. Rais huyo amewasili jana usiku Julai 17, 2023 na kupokelewa na Waziri wa Mambo…
Fisi aua mtu mmoja Mtwara, naye auawa
Wananchi wa Kijiji cha Chiwambo mkoani Mtwara wamemuua fisi wa silaha za jadi baada ya kuvamia nyumbani kwa mkazi mmoja wa kijiji hicho wakati wakiota moto ndani. Mwenyekiti wa Serikali ya kijiji hicho, Maimuna Mbaya amesema kuwa tukio hilo lilitokea…
Ajali ya ndege yaua watano Poland
Ndege ndogo imeanguka kwenye uwanja wa ndege karibu na mji mkuu wa Poland Warsaw, na kuua watu watano akiwemo rubani wake, maafisa wanasema. Watu wanane pia walijeruhiwa katika ajali hiyo, polisi wanasema. Watu kumi na watatu walikuwa wameripotiwa kujikinga kwenye…
Breaking News; Jecha afariki dunia
Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), ambaye atakumbukwa kwa kufuta uchaguzi 2025 na kupata umaarufu, Jecha Salim Jecha amefariki dunia katika Hospitali ya Lugalo jijini Dar es Salaam. Marehemu akiwa Mwenyekiti wa Tume hiyo aliwahi kufuta matokeo…