Author: Jamhuri
Klabu ya Simba yakamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji
Klabu ya Simba imethibitisha kukamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji Luis Jose Miquissone kwa mkataba wa miaka mitatu. Winga huyo raia wa Msumbiji, aliwahi kuitumikia Simba kabla ya kuuzwa Al Ahly ambayo nayo ilimtoa kwa mkopo kabla ya kutangazwa tena kurejea…
Yanga Princess yaitandika Geita Gold
Yanga Princess imeitandika Geita Gold mabao 3-0 katika mchezo wa kirafiki wa utangulizi katika Tamasha la Wiki ya Mwananchi linaloendelea Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam. Baada ya mchezo kukamilika, burudani ya muziki kutoka kwa wasanii mbalimbali inaendelea huku mashabiki wakiendelea kumiminika uwanjani uwanjani hapo….
Polisi Katavi yasaka aliyemlawiti mtoto wa darasa la tatu
Polisi Mkoa wa Katavi inamsaka mtu mmoja ambaye bado hajafahamika kwa tuhuma za kumlawiti mtoto mwenye umri wa miaka 12. Tukio hilo limetokea Julai 17, 2023 katika Kijiji cha Dilifu, Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi ambapo mtuhumiwa alimvizia mtoto huyo…
Dkt.Mpango akerwa na matajiri,Polisi kupitisha malori yenye mifugo kinyemela
Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Philip Mpango ameagiza vyombo vya ulinzi na usalama kuhakikisha vina shugulikia migogoro ya wakulima na wafugaji ambayo inaletwa na baadhi ya viongozi pamoja na matajiri toka…
Watuhumiwa 106 jela kwa uhalifu Arusha
Na Mwandishi Jeshi la Polisi Jeshi la Polisi Mkoani Arusha kuanzia Januari hadi Juni, 2023 limefanikiwa kuwafikisha Mahakamani watuhumiwa wa makosa makubwa ya uhalifu ambapo 106 walipatikana na hatia na kuhukumiwa kwenda Jela vifungo mbalimbali. Akitoa taarifa hiyo leo Julai…
TPDC yapaa kiutendaji, yajiendesha kwa faida
Na Mwandishi Wetu Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limeimarika kifedha kwa kupata faida ya Sh bilioni 97.78 mwaka 2021/22 ukilinganisha na Sh bilioni 22.92 kwa mwaka 2020/21. Aidha mizania ya fedha (Balance Sheet) imekuwa imara zaidi kutoka Sh…