Author: Jamhuri
Wizara ya Elimu, Benki ya Dunia wajadili mageuzi sekta ya elimu
Viongozi wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia wamekutana kwa mara ingine na kufanya majadiliano na ujumbe wa Benki ya Dunia juu ya ushirikiano katika utekelezaji wa mageuzi makubwa ya elimu nchini. Akizungumza katika kikao hicho Waziri wa Elimu, Sayansi…
Wawili wahukumiwa jela maisha kwa ubakaji watoto
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Tabora WATU wawili wakazi wa Wilaya ya Nzega na Uyui mkoani Tabora wamefikishwa mahakamani na Jeshi la Polisi na kuhukumiwa kifungo cha maisha jela baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la ubakaji watoto. Kamanda wa Jeshi la…
Dk. Sigalla:Kipengele cha afya ya uzazi EJAT kitapunguza mitazamo hasi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Jumla ya waandishi wa habari 92 wameshiriki katika kinyang’anyiro cha Tuzo za Umahiri katika Uandishi wa Habari (EJAT) 2022 ambapo jumla ya kazi 883 ziliwasilishwa kutoka vyombo vya habari vya magazeti, radio, runinga na vyombo vya…
Ridhiwani awaasa wana-Chalinze kuondoa tofauti, kukimbilia maendeleo
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia,Chalinze Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete amewaasa Wanachalinze kuondoa tofauti ili kufikia maendeleo ya kweli wanayoyahitaji. Ridhiwani ambae pia ni Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora alitoa rai hiyo wakati,…
Dkt.Mpango: Serikali kuondoa changamoto zinazowakabili wakulima
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Philip Mpango amesema serikali itahakikisha inaondoa changamoto za wakulima katika msimu mpya wa kilimo ikiwemo kusogeza huduma za mbolea ya ruzuku katika maeneo ya jirani zaidi na wakulima. Makamu wa…