JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Gobore 150 zakamatwa Msomera

Za8di ya silaha za kijadi aina ya gobore 150 zinazomilikiwa kinyume na sheria zimekamatwa katika ijiji cha Msomera wilayani Handeni mkoani Tanga . Hayo yamesemwa na MKuu wa Wilaya ya Handeni, Albert Msando wakati akisoma taarifa ya maendeleo ya kijiji…

Balozi awatoa hofu Watanzania treni SGR

Balozi wa Tanzania nchini Korea Kusini Togolani Mavura amewatoa hofu wananchi juu ya maendeleo ya utengenezaji seti 10 za treni za kisasa na vichwa 17 vya treni vya umeme vitakavyotumika katika reli ya kisasa SGR nchini. Balozi Mavura ameyasema hayo…

Programu kilimo kidigitali kuvutia vijana

Kutokana na kuwepo kwa changamoto ya teknolojia ya kilimo vijana nchini wametakiwa kuwasilisha bunifu zao za teknolojia ya kilimo ili kupata suluhu na kuongeza nafasi za ajira. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa programu maalum ya kuwasilisha teknolojia hizo za kidigitali, Waziri …

Askari wa kike watakiwa kushiriki operesheni za kulinda amani

Na Mwandishi wetu Jeshi la Polisi- Dar es Salaam. Kamishna wa Jeshi la Polisi Tanzania Suzan Kaganda amewahamasisha washiriki wa mkutano wanne wa mafunzo wa Jumuiya ya Polisi wa kike duniani (IAWP) Ukanda wa Afrika kutumia elimu wanayoendelea kupata ili…

UNDP kuendelea kushirikiana na MAIPAC miradi ya uhifadhi wa mazingira

Na Mwandishi Wetu,Arusha Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa(UNDP) kupitia Programu ya miradi midogo(SGP) nchini, limeahidi kuendelea kushirikiana na Taasisi ya Wanahabari ya kusaidia jamii za Pembezoni(MAIPAC) katika kutekeleza miradi ya kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabia nchi…