JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

DED Msalala atamba kuvuka lengo makusanyo ya mapato 2023/2024

Na Mwandushi Wetu, JAMHURI MEDIA Mkurugernzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Msalala mkoani Shinyanga, Khamis Katimba amesema, halmashauri hiyo imepanga kuvuka lengo la makusanyo ya mapato yaliyokusanywa katika Mwaka wa Fedha 2022/23.Akizungumza na mwandishi wa habari hii, Katimba aliyeteuliwa…

Serikali yamwaga mabilioni kujenga shule mpya Ruvuma

Na Albano Midelo, JamhuriMedia, Songea Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Deogratias Ndejembi amesema serikali ya Awamu ya sita mwaka huu imetoa zaidi ya shilingi bilioni 230 kwa ajili ya ukarabati na ujenzi wa miundombinu ya shule za…

Waziri Jafo aridhishwa uzingatiaji sheria ya mazingira bandari Mtwara

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Wazir wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira),Dkt. Selemani Jafo ameonesha kuridhishwa na uzingatiaji wa Kanuni na Sheria ya Mazingira katika Bandari ya Mtwara. Hayo yalijiri wakati wa ziara ya kikazi ya Dkt. Jafo…

Moto wa Mediterania waua zaidi ya watu 40

Zaidi ya watu 40 wamefariki dunia nchini Algeria, Italia na Ugiriki wakati moto wa nyika ukitishia vijiji na maeneo ya mapumziko huku maelfu ya watu wamehamishwa. Ugiriki inajiandaa kwa safari zaidi za uokoaji kutoka Rhodes, wakati moto pia ukiendelea kuwaka…