JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Vitongoji 9000 kusambaziwa umeme mwaka 2025/2026- Kapinga

📌 Majimbo yaendelea kufaidika na mradi wa umeme wa Vitongoji 15. Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Dadoma Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imekamilisha kazi ya kupeleka umeme kwenye Vijiji vyote Tanzania Bara…

Rais Mwinyi akutana na Naibu Waziri Mkuu wa Uingereza

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ameishukuru Serikali ya Uingereza kwa kuunga mkono juhudi za Zanzibar katika kuboresha miundombinu ambapo hivi karibuni Taasisi ya UK Export Finance ya Uingereza imetoa dhamana kwa ajili ya…

Majaliwa : Mapato ya bandari yafikia trilioni moja kwa mwezi

*Ongezeko hilo limechangiwa na uwekezaji uliofanyika katika gati  namba 0-7 * Asema pato halisi la Taifa limekuwa kwa wastani wa asilimia 5.5 WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema mapato ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari kwa mwezi yameongezeka kutoka wastani wa…

Tanzania yashiriki mkutano wa 10 wa Baraza la Mawaziri nchi zinazozalisha almasi

Freetown- Sierra Leone Ujumbe wa Tanzania ukiongozwa na Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa Aprili 8, 2025 ulishiriki Jukwaa Maalum la Mkutano wa 10 wa Baraza la Mawaziri wa Nchi zinazozalisha Madini ya Almasi Barani Afrika (The African Diamond…

Makamu wa Rais afanya mazugumzo na Balozi Matinyi, Balozi Hamad

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango amewasihi Mabalozi kuwaunganisha Watanzania wanaoishi katika nchi wanazowakilisha (Diaspora) ili waweze kuchangia maendeleo ya Taifa kupitia uwekezaji mbalimbali. Makamu wa Rais amesema hayo wakati alipokutana na kufanya…