Author: Jamhuri
CAF wakunga miundombinu itakayotumika AFCON 2027
Na Eleuteri Mangi, Dar es Salaam Timu ya wataalamu kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) ipo nchini kukagua miundombinu ya michezo ikiwa ni maandalizi ya mashindano ya AFCON 2027 endapo nchi za Tanzania, Kenya na Uganda zitapata ridhaa…
Mwenge wa Uhuru wazindua vyumba 14 vya madarasa Shinyanga
Mwenge wa Uhuru umezindua vyumba 14 vya madarasa vilivyojengwa kwa thamani zaidi ya sh millioni 470 katika shule ya sekondari Kagongwa iliyopo Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga. Uzinduzi huo umefanyika leo baada ya kiongozi wa mbio hizo kitaifa, Abdalla Kaim…
Mandonga apata kipigo tena
Bondia wa Tanzania, Karim Mandonga, maarufu kwa jina la Mandonga Mtu Kazi, amepigwa tena na mwandondi mkongwe wa Uganda Moses Golola. Mandonga alitolewa kwa ‘Technical Knock Out’ Jumamosi, Julai 29 katika pigano lililofanyika jijini Mwanza, Tanzania. Watazamaji walikuwa wamejawa na…
Bilioni 764/- kuunganisha Ruvuma na Morogoro kwa lami
Na Albano Midelo, JamhuriMedia,Songea Jumla ya shilingi bilioni 764 zinatarajia kutumika katika kutekeleza ujenzi wa barabara itakayounganisha Mkoa wa Ruvuma na Mkoa wa Morogoro. Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhandisi Godfrey Kasekenya akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Mlilayoyo…
Ruvuma kuzindua wiki ya unyonyeshaji maziwa Kata ya Ruvuma
Na Albano Midelo, JamhuriMedia,Songea Mkoa wa Ruvuma unatarajia kuzindua wiki ya unyonyeshaji wa maziwa ya mama Duniani,Agosti Mosi,2023 katika Kituo cha Afya kata ya Ruvuma kilichopo Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Ndugu Stephen Ndaki…
Katibu Mkuu UWT awataka wanawake kusimamia maadili mema ya malezi
Na Cresensia Kapinga,Songea. KATIBU Mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Dkt. Philis Nyimbi amewataka wazazi na walezi nchini kusimamia maadili mema ya malezi kwa watoto wao kwa kuwa hivi karibuni kumekuwepo kwa vitendo vilivyokithiri vya mmomonyoko wa maadili jambo…