JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Serikali kutekeleza mradi mkubwa wa maji Manispaa Singida

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Singida (SUWASA), imetaja mikakati yake ya kuimarisha upatikanaji wa maji na uondoshaji wa majitaka ikiwamo kutekelezwa kwa mradi wa maji wa Miji 28 unaogharimu Sh.Bilioni 45.   Akizungumza na waandishi wa habari Agosti…

Tume yatangaza uchaguzi mdogo wa Mbarali na kata sita

Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Mbarali, mkoani Mbeya na kata sita za Tanzania Bara utafanyika Septemba 19, 2023. Akisoma taarifa kwa umma jijini Dodoma Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Bw. Ramadhani Kailima amesema wagombea watachukua fomu…

Rais Samia aombwa kuwa kiongozi kinara mapambano ya TB duniani

Geneva, Uswisi. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameombwa kuwa miongoni mwa viongozi kinara katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Kifua Kikuu Duniani kufuatia utekelezaji bora wa afua zinazolenga kutokomeza ugonjwa huo hadi ifikapo 2030….

Tanzania, Cuba kushirikiana katika mchezo wa ngumi

Tanzania kupitia Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo na Serikali ya Cuba kupitia Taasisi ya INDER ya nchini humo zimekubaliana kushirikiana katika eneo la kuendeleza mchezo wa ngumi, ambapo mabondia kutoka hapa nchini watapata fursa ya kuweka Kambi Cuba pia…

NMB yatenga bil.20/- BBT, yamwaga mikopo kwa wakulima

Katika kuunga mkono juhudi za Serikali kuwainua vijana na wanawake kupitia mradi wa kuwawezesha kulima, kuvua na kufuga kibiashara (BBT), Benki ya NMB imetenga jumla ya Sh. bilioni 20 pamoja na kuwaelimisha vijana na wanawake hao namna ya kupata mikopo…

Majaliwa aiagiza BoT kuzisimamia benki katika maboresho ya riba

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa ameiagiza Benki kuu ya Tanzania (BOT) kuzisimamia Taasisi za kifedha kwa upande wa mabenki kuboresha riba katika mikopo wanayoitoa. Akizungumza Leo,Agosti 3, 2023, katika banda la BoT mara baada ya …