Author: Jamhuri
Biden: Ukraine inahitaji kuendelea kusaidiwa kwa udharura
Rais wa Marekani Joe Biden amesema, mashambulizi ya hivi karibuni ya Urusi dhidi ya Ukraine yanaonyesha dharura ya kuiunga mkono Ukraine. Rais wa Marekani Joe Biden amesema, mashambulizi ya hivi karibuni ya Urusi dhidi ya Ukraine yanaonyesha dharura ya kuiunga…
Tanzania yapanda Kenya yashuka katika orodha mpya ya FIFA duniani
Timu ya taifa ya Kenya ya mpira wa miguu Harambee Stars imeshuka kwa nafasi mbili katika viwango vya hivi punde vya FIFA vilivyotolewa Alhamisi na Shirikisho la Soka Duniani. Timu ya taifa ya kandanda sasa iko katika nafasi ya 108,…
CPA Makalla ataja sababu za CCM kushinda kwa kishindo
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam KATIBU wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla amesema kuwa, chama hicho kimeshinda kwa kishindo kutokana na maandalizi waliyoyafanya pamoja na kuzitumia 4R za Rais wa Jamhuri…
Rais aomboleza kifo cha Ndunguile wakati wa kikao kazi jijini Arusha
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama pamoja na viongozi wengine kwa ajili ya kumuombea aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika Marehemu Dkt. Faustine Ndugulile aliyefariki dunia nchini India alipokuwa akipatiwa matibabu, wakati wa kikao kazi kilichofanyika Ikulu ndogo…
Mwanamitindo Mellen kuongoza Tamasha la Mitindo la Samia
Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mwanamitindo wa Kimataifa wa Tanzania Mellen Magese ametangazwa kuwa jaji mkuu wa Tamasha la Samia Fashion Festival litakalofanyika Novemba 30 mwaka huu visiwani Zanzibar. Akizungumza mara baada ya kutangazwa kuwa Jaji Mkuu wa…
Nyota ya Mbappe yafifia Real Madrid Wakiyumba Ligi ya Mabingwa
Mabingwa mara 15 wa Ulaya, Real Madrid, wanakabiliwa na changamoto kubwa baada ya kupoteza mara tatu katika mechi tano za Ligi ya Mabingwa. Baada ya kichapo cha mabao 2-0 dhidi ya Liverpool, wababe hao wa Uhispania wapo katika nafasi ya…