Author: Jamhuri
Rais Samia apongeza mchango wa NMB kwenye kilimo akifunga maonesho ya Nane Nane
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Mbeya RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hasaan, ameipongeza Benki ya NMB kwa mchango uliotukuka kwenye Sekta ya Kilimo, Uvuvi, Ufugaji na Misitu, sambamba na kusapoti Program ya Kuandaa Vijana na Wanawake Kujenga…
Banda la Farm Africa gumzo maonesho ya Nane Nane Dodoma
Na Andrew Chale, JamhuriMedia, Dodoma BANDA la Shirika la Farm Africa linalojishughulisha na masuala ya kilimo nchini lilipo ndani Maonesho ya Kanda ya Kati ya Wakulima ‘Nane Nane’ yanayoendelea katika viwanja vya Nzuguni Jijini Dodoma yenye kauli mbiu Kitaifa “Vijana…
Kituo cha utafiti Polisi na TICD wadhamiria kuleta mabadiliko ya utendaji wa Polisi
Na Abel Paul wa Jeshi la Polisi – Dar es Salaam Kituo cha Utafiti cha Jeshi la Polisi kilichopo Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es Salaam kwa kushirikina na Taasisi ya Maendeleo ya Jamii Tengeru (TICD) imeendelea na mafunzo…
Wasimamizi wa uchaguzi watakiwa kutekeleza majukumu kwa ufanisi
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji (Rufaa) Mhe. Jacobs Mwambegele amewataka wasimamizi wa uchaguzi nchini kufanya kazi kwa weledi ili chaguzi ziwe nzuri, zenye ufanisi na amani. Jaji Mwambegele ameyasema hayo leo tarehe 08 Agosti, 2023 Mkoani Morogoro,…
Rais Samia aipa kongole Wizara ya Mifugo na Uvuvi kupitia BBT-LIFE
Na Edward Kondela, JamhuriMedia, Mbeya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameipongeza Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa namna inavyotekeleza Programu ya Kielelezo “Jenga Kesho Iliyo Bora” (BBT – LIFE) na kuwataka vijana waliopo kwenye…