JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

TSB kuzalisha tani elfu 60 za mkonge

Na Esther Mbussi, JamhuriMedia, Mbeya Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Mkonge Tanzania (TSB), Saddy Kambona, amesema moja ya malengo ya bodi hiyo kwa mwaka huu ni kuzalisha tani 60,000 kutoka tani 48,000 mwaka jana. Kambona amesema hayo jijini Mbeya katika…

Serikali yamaliza mgogoro wa ardhi kati ya KKKT na wananchi Njombe

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Njombe Serikali imehitimisha rasmi mgogoro wa muda mrefu baina ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya kusini Njombe na wananchi wa kijiji cha Magoda na mtaa wa Lunyanywi katika halmashauri ya wilaya ya…

Tanzania, Abu Dhabi zaitia saini mkataba wa kujenga njia ya kusafirisha umeme

Na Benny Mwaipaja, Abu Dhabi Tanzania na Mfuko wa Maendeleo wa Abu Dhabi wa Umoja wa Falme za Kiarabu zimetiliana Saini mkataba wa mkopo nafuu wa dola za Marekani milioni 30 sawa na shilingi bilioni 70 za Tanzania kwa ajili…

‘TSC fanyieni kazi kero za walimu kucheleweshwa kupandishwa vyeo’

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Mbeya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR – TAMISEMI),Angellah Kairuki ameitaka Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC) kuzifanyia kazi hoja zote zilizowasilishwa na wateja ambao wengi wao ni walimu…

Upasuaji kuondoa uvimbe kwenye sakafu ya ubongo kupitia pua wafanyika Mloganzila

Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila imefanya upasuaji wa kuondoa uvimbe kwenye sakafu ya ubongo kupitia pua (Endoscopic transphenoidal pituitary) bila kupasua fuvu la kichwa ambapo tangu kuanza kwa huduma hii takribani watu watano wamenufaika na matibabu hayo. Upusuaji huo umefanywa na…