Author: Jamhuri
Hospitali zote nchini kuwa na wodi maalumu za uangalizi wa watoto njiti
Na.l WAF – Dar es SalaamSerikali kupitia Wizara ya Afya inafanya juhudi za kuhakikisha Hospitali zote nchini zinakua na wodi maalum za uangalizi wa watoto njiti (NICU) na kushuka hadi katika ngazi ya jamii. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa…
Waziri Mabula ataka wamiliki wa ardhi kumiliki maeneo kwa hati
Na mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Makete Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amewataka wamiliki wa ardhi nchini kuhakikisha wanamilikishwa maeneo yao kwa kupatiwa hatimiliki za ardhi ili kuwa na salama ya miliki zao. Dkt Mabula alisema…
Prof.Janabi ashauri klabu za soka kuhakiki afya za wachezaji kabla ya usajili
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia,Dodoma Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Prof. Mohamed Janabi amezishauri Klabu za soka nchini kufanya uhakiki wa afya za wachezaji kabla ya kuwasajili kuepuka kupoteza gharama pindi wanapopata madhara kiafya. Prof. Janabi ameeleza hayo…
TEA kuendelea kuwanufaisha vijana
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma MAMLA ya Elimu Tanzania (TEA), kupitia mradi wa Mfuko wa kuendeleza ujuzi imefanikiwa kuwafikia vijana 49,063 kupitia mafunzo katika sekta za kilimo,uchumi, TEHAMA , Utalii, nishati,ujenzi na uchukuzi. Imesema vijana walionufaika ni pamoja na vijana…