Author: Jamhuri
Uhamiaji yawakamata wahamiaji haramu 65 raia wa Ethiopia
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Katavi Idara ya Uhamiaji imewakamata wahamiaji haramu 65 raia wa Ethiopia ambao walikuwa wanasafirishwa kwa gari ya kubebea mafuta. Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari kutoka idara hiyo imesema kuwa wahamiaji hao walikuwa wanasafirishwa…
NMB yapata heshima kubwa ya superbrands
Na Mwandishi Wetu, JmahuriMedia Benki ya NMB imetunukiwa cheti cha kuwa ‘Superbrand’, na kuifanya kuwa benki pekee iliyopata hadhi hiyo katika tasnia yakifedha nchini Tanzania mwaka huu. Hadhi hiyo ya ‘Superbrands’ inatunukiwa chapa bora zaidi katika uwanja wao kufuatia mchakato…
Waziri Mabula atahadharisha wanaotumia wizara kama rejea kufanya uhalifu
Na Munir Shemweta, JamhuriMedia, WANMM Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula ametoa tahadhari kwa wale wanaotumia wizara yake kama rejea kufanya uhalifu na kujipatia mali au fedha isivyo halali. Waziri Mabula amesema mtu yoyote akihisi…
Usimamizi imara utakavyowaweka salama watoto wanaoishi na kufanyakazi mtaani
Na Hassan Aufi, JamhuriMedia Mtazamo wa wataalamu wa Sosholojia (Sociologist) kuhusu tatizo la watoto wanaoishi na kufanya kazi mtaani, unaonyesha kuwa hali hii inajitokeza kutokana na kukosekana uimara kwenye mifumo ya kimalezi ya familia zetu na kwa kiasi kikubwa katika…
Meneja NSSF Ruvuma awaasa wazazi kuzingatia malezi mema
Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea MENEJA wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) Mkoa wa Ruvuma Yahya Mudhihiri amewaasa wazazi, walezi na jamii kwa ujumla kuona umuhimu wa kuzingatia malezi mema kwa watoto na vijana kwani hivi sasa…