Author: Jamhuri
CPA Makalla alaani mauaji, watu kujeruhiwa uchaguzi Serikali za Mitaa
Na Mwandishi Wetu KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) CPA Amoss Makallla amesema Chama hicho kinalaani matukio mbalimbali yaliyotokea yakiwemo ya mauaji na watu kujeruhiwa wakati wa kampeni za uchaguzi wa Serikali za mitaa. Aidha amelitaka Jeshi…
CCM yataja sababu nne zilizofanya washinde kwa kishindo Serikali za Mitaa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam CHAMA Cha Mapinduzi(CCM) kimetoa sababu nne ambazo zimefanya Watanzania kuendelea kukiamini na kuchagua wagombea wa Chama hicho katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa na miongoni mwasababu ambazo zimefanya washindi ni uwepo wa migogoro…
Mamilioni ya dola kuhimili athari mabadiliko tabianchi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Tanzania imeahidiwa Dola za Marekani milioni 782.2, Euro milioni 26, na Dola za Canada milioni 2 kutoka kwa washirika wa maendeleo duniani kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya kuhimili athari za mabadiliko…
INEC yaonya wanaojiandikisha mara mbili daftari la wapiga kura
Tume ya Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imewatoa rai kwa wananchi kutojiandikisha zaidi ya mara moja katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura litakaloanza katika Desemba 11 -17 mwaka huu kwenye mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Dodoma . Aidha…
Mamlaka za usafirishaji majini barani Afrika zatakiwa kushirikiana kuboresha huduma
📌 Dkt. Biteko afungua Kongamano na Mkutano Mkuu wa 7 wa AAMA 📌 Awataka washiriki kubuni mbinu za kukabili changamoto zilizopo 📌 IMO yaahidi kuendeleza ushirikiano kukabiliana na changamoto Bahraini 📌 Dar es Salaam yampongeza Rais Samia kuboresha Bandari, kupunguza…
Shule za msingi 139 Mbinga kupewa kompyuta
📌 Kapinga asema lengo ni kuchochea kasi ya ukuaji wa Elimu 📌 Aweka Jiwe la Msingi ujenzi wa nyumba ya Mwalimu Shule ya Mbungani 📌 Asema miradi ya maendeleo itawafikia wananchi wote bila kuangalia umbali Naibu Waziri wa Nishati ambaye…