Author: Jamhuri
TFS: Asilimia 96 ya asali ya Tanzania inakidhi viwango vya ubora
Na Dotto Kwilasa, Dodoma Asali ya Tanzania imeshika nafasi ya pili kwa ubora Afrika, huku asilimia 96 ya sampuli ya asali ya inayozalishwa nchini zilizopelekwa maabala ya kimataifa nchini Ujerumani zilibainika kukidhi viwango vya ubora wa Kimataifa. Hayo yamebainishwa jijini…
Rais Samia adhamiria kufanya mageuzi katika kilimo cha mkonge
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia,Dodoma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan amedhamilia kufanya mageuzi katika kilimo cha Mkonge Kwa kuchukua hatua mbalimbali ikiwemo kusambaza miche 6,991,200 ya mbegu za mkonge bure kwa wakulima wadogo katika Wilaya 16….
TEF yasikitishwa na tukio la waandishi kushambuliwa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), limesikitishwa na tukio lililofanywa na vijana wa Kimasai (Morani) zaidi ya 200 katika Kata ya Enduleni, wilayani Ngorongoro la kuwashambulia waandishi wa habari na kuwatia majeraha makubwa wakiwa kazini. Agosti 15,…
Baraza la vyama vya siasa nchini laonya wanasiasa
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia, Dodoma Baraza la Vyama vya siasa nchini limewataka viongozi wa Vyama vya Siasa kujiepusha kutumia lugha za matusi,ubaguzi,udhalilishaji,upotoshaji na kubeza maendeleo na badala yake katika kutimiza malengo yao ya kisiasa wajikite kunadi sera zao kwa kujenga hoja…
NMB, ATCL wazindua mfumo wa malipo tiketi za ndege
Na Mwandishi Wetu , JamhuriMedia Benki ya NMB na Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), wamezindua ushirikiano wa kibiashara wa mifumo ya malipo ya tiketi za ndege ‘Anga Rafiki – Tiketi Yako Imebima,’ unaowapa fursa wasafiri wa kulipia tiketi kupitia matawi,…
Wakazi kijiji cha Pande Kilwa wa walilia barabara
Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia Wakazi wa kijiji cha Pande plot wilayani Kilwa mkoani Lindi wamemuomba Rais Samia Suluhu Hassankuwatatulia kero ya barabara kama alivyo ahidiwa na Rais mstaafu Jakaya Kikwete. Akizungumza kwa niaba ya wenzake Mahamudi Mandodo amesema wakazi wa…