Author: Jamhuri
Wakulima walalamika kutolipwa pesa za korosho Lindi
Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia Wakazi wa kijiji cha Pande plot wilayani Kilwa mkoani Lindi wamelalamika kutolipwa pesa za korosho za msimu uliopita. Akizungumza na JAMHURI DIGITAL kwa niaba ya wenzake Said Danga amesema,hawajalipwa malipo ya korosho na hawana tarifa zozote…
DAS Songea aitaka jamii kujitokeza zoezi la unyweshaji wa kinga tiba ya usubi
Na Cresensia Kapinga, Jamhuri, Songea Katibu Tawala Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma Mtela Mwampamba, ameitaka jamii kujitokeza kwa wingi katika zoezi la unyweshaji wa kinga tiba ya Usubi, magonjwa ambayo hayapewi kipaumbele na yamekuwa yakiwaathiri sana jamii maskini. Hayo ameyasema…
NEC yatoa vibali kwa taasisi na asasi kutoa elimu na kutazama uchaguzi mdogo
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetoa vibali vya kutoa Elimu ya Mpiga Kura katika Uchaguzi Mdogo wa Ubunge jimbo la Mbarali na kata sita za Tanzania Bara kwa asasi tatu za kiraia. Taarifa ya Tume…
TMDA iongeze nguvu kudhibiti bidhaa feki za dawa zinazoingia nchini
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Mwenyekiti wa kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI Stanslaus Nyongo ameitaka Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) kuongeza nguvu ya kudhibiti bidhaa feki za dawa zinazoingia nchini Tanzania. Mwenyekiti…
Wadau wa habari waomba uundwaji wa kanuni za habari usipite mwezi Oktoba
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar Wadau wa habari wamesema, baada ya Bunge kupitisha marekebisho ya sheria ya habari, kinachofuata sasa ni kuomba fursa ya kukutana na serikali ili kupendekeza mambo gani yaingie kwenye kanuni. Akizungumza na waandishi wa habari leo…